Jumatatu, 3 Aprili 2023

Jinsi ya kuandaa kitalu cha miwa

   Habari ndugu msomaji karibu tena kwenye makala yetu ya kilimo cha miwa

Napenda leo leotuangalie ljinsi ya kuandaa kitalu kwa ajili ya kupanda miwa, yapo mambo machache ya kufwata kabula ya kuandaa kitalu cha miwa

 1/Eneo lilimwe vizuri kwa kutifuliwa kwa uhakiaka

2/chimba nyororo au mashimo nq yaingie ndwani urefu wa sentimita 30-45 kwenda chini

3/liwe eneolenye maji ya kutosha kumwagilia

4/Andaa mbolea ya kupandia  na weka kwenye .ashimo au nyororo ulizo ziandaa

5/Chukua mbegu zako ulizoziandaa vizuri kwa kuzikinga na udumvu kwa kuchemsha 

6/panda mbegu nq fukia vizuri kwa udongo wa kutoshaa

  Kitalu cha miwa kinasaidia sana kupat mbegu iliyobora na yakuweza kupanda eneo kubwaa, unapokua na kitalu utaweza kuifahamu mbegu yako kama ina shida yoyote ya ukuaji 

Kwa mawasiliano 

0686060797 

Karibu tujifunze pmoja  kujikwamua kiuchumi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni