Jumatano, 8 Machi 2017
MATUMIZ YA MBOLEA ZA KUKUZIA KWENYE MAHINDI
Mbolea za kukuzia ni mbolea zinzotumika kuupa mmea afya nzur na mavuno kuwa mazuri wakati wa kuvuna. mbolea hizi zikitumika vibaya pia huleta madhara makubwa kwa mlaji na ardhi kwa ujumla, zipo mbolea za aina nying lakin leo nitazungumzia
CAN na
UREA.
hizi ni mbolea ambazo zinapatikana kwa urahisi na wakulima weng hupenda kuzitumia katika kukuzia mimea yao kama mahindi maharage viazi na n.k
JINSI YA KUTUMIA KWA VIPIMO
tumia mfuko mmoja waa kg 50 kwa ekari moja uishe wote, weka kwa vipimo maalumu na kwa usahihi ili kupata mavuno bora
weka mbolea mara mbili kulingana na ahali ya mazao yako, anza na mbolea ya UREA ili kuupa mmea afya nzurio a kukua araka, baada ya hapoo tumia CAN pale mahindi yanapokaribia kueka mtoto au gunz ili kuupa uwezo wa kueka punje kubwa na imara kwa gunz lote bila kubakisha.
weka g5-10 kwa kila mmea nfdani ya shamba lakoo ili kusaidia kupata mavuno mengi
UREA hubeba nitreogen kwa wingi
CAN husaidia kuongeza calcium kwenye mmea
mbolea zipo za aina nyingi zingoine pia ni nzur lakini zitumike kwa vipimo maalumu ili kuto kukupa hasara kwenye mavuno
kama utakua unahitaji notsi kwa ajili ya mazao ya kilimo usisite kusema matumizi ya madawa na mbolea kwa ujumla wasiliana nami kwa no
0768092549, 0625473643,0715876743
email robinpraise5@gmail.com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni