KILIMO CHA MAHARAGE
ndugu wasomaji napenda kuwaletea aina nyingine ya mbegu ya maharage ambayo ni bora na nzuri kwa kupandwa kwa maeneo yote yanayokubali zao hili. Mbegu hii ilifanyiwa uchunguzi kwenye chuo cha uchunguzi wa mbe UYOLE Mbeya na kuruhusiwa kwa ajili ya kilimo ndani ya jamii
Aina ya mbegu tutakayojifunza leo ni
BILFA 16
Mbegu hii ya maharage ni nyekundu yenye vichirizi vichiriz vyeupe kwa mbali hukua kwenye uwanda uliombali na bahari usawa wa800-2000 kutoka baharini. mbegu hii hukua haraka na huzaa maharage yenye rangi nyekundu na huwa na matawi kuanzia 4-6. Mbegu hii hutoa maua ya pink vishuba au vikoba vyeupena vikikomaa huwa na rangi ya maziwa
KIASI CHA MBEGU NA UZALISHAJI
Mbegu hii nyekundu hupandwa kilo 70-80 kwa hekta moja ambayo ni sawa na ekari mbili na nusu.mbegu hii huzaa vizuri pia ila inamapungufu ukilinganisha na uyole 04 ambayo ni sawa na miche 205000. kwa hekari moja unapata tani 1.4-1.6 za maharage yaliyoko tayari kama utayalima kitaalam
Ni vyema kufanya palilizi mapema ili kuyapa maharage sapoti nzuri katika ukuaji wake. ili kupata mavuno mazuri pia ni vyema tuka hudumia vizur zao hili kwa kupuliza dawa pale wadudu wanapoanza kushambulia mimea.
MDA WA KUPAND NA KUVUNA
Mbegu hii ya maharage hupandwa mwezi wa 3 kama mvua zikiwahi na endapo mvua zitachelewa hupandwa mwezi wa nne. Maharage haya huchukua siku 110 kukomaa hadi kuvunwa. Wakati maharage yanapokauaka tu ni vyema kuvunwa ili kukwepa hasara ya kupasukapasuka ovyoo shambani.
kwa mawasiliano zaidi kuhusu kilimo na ufugaji piga
sim no 0768092549, 0625473643, 0715876743
email robinpraise5@gmail.com
Jumatatu, 14 Novemba 2016
Alhamisi, 10 Novemba 2016
KILIMO CHA MAHARAGE(Beanz)
maharage ni zao ambalo hutumika kwa chakula na mboga pia kwa maisha ya mwanadamu. maharage ni chakula muhimu huongeza protein mwilini nakuufanya mwili kuwa na mguvu vizur. Maharage hutumiwa kama chakula kila siku kwenye mlo hivyo huhitajika kwa kiasi kikubwa
KUANDAA SHAMBA
ni vyema shamba kuandaliwa kwa kutifuliwa vizuri kabla ya kupanda maharage. Shamba mbalo halitalimwa vizuri linaweza kusababisha ukosefu wa mazao kwa wingi. Unaweza kuandaa shamba kwa kutumia jembe la mkono trekta na plau pia.
MBEGU
Maharage yapo ya aina mbalimbali ila tutazungumzia ani mbili ambazo ni bora na zenye uzao mwingi. aina moja wapo ni
UYOLE 04
Hii ni mbegu ambayo hukua kwa haraka sana na pia hutambaa. Mbegu hii huzaa maharage yenye ukubwa wa wastani na pia zinahimili magonjwa sugu yanayoshambulia magonjwa maharage kwa sana mfano kutu ya maharage
Mbegu hii hupandwa mwezi wa 3 kama mvua zikiwahi , nakama mvua zikichelewa hupandwa mwezi wa nne. mbegu hii huchukua siku 105 kukoma
kilo 75-90 hupandwa kwa hecta moja ambyo ni sawa na miche 195000-205000 ndani ya hekta moja. ndani ya hekta moja tunapata tarn 1.5-1.9 za maharage kama utakua umezingatia amsharti yotee.
mbegu hii hukua kwa mikoa ya nyanda zajuu kaskazini, Mbeya, Iringa, Songwe, Rukwa na mikoa yote ambayo 800-2000 mm kutoka usawa wabahari
PALIZI
ni vyema kupalilia maharege wiki mbili baada tu ya kuota vizuri ili kuondoa magugu yanayo nyonya virutubisho kutoka kwenye udongo ambavyo ni vya mmea husika ndani ya shamba lako. ukichelewesha palizi utasababisha maharage kudhoofu na kutotoa maharage kwa wingi.
NB
wakati wa maharage kutoa maua usije ukapalilia wala kuvuruga maharage utadondoshs maua hivyo kupunguza uzalishaji mzuri wa maharage.
Asanten kwa ushirikiano wenu wapendwa wotee
Kwa mawasiliano 0768092549, 0715876743
emeil;robinpraise5@gmail.com

Jumatatu, 31 Oktoba 2016
KILIMO CHA MBOGAMBOGA(HORTICULTURE)
Hiki ni kilimo ambacho ni cha muda mfupi ambacho ni bora zaidi kukitumia ili kujaribu kuepukana na umaskini. kilimo cha mbogamboga ni bora zaidi sababu asilimia 95% duniani hutumia mboga na matunda ili kujenga mwili na kuutia mwili joto. mboga mboga husaidia kutubatia vitamini A kwa ajili ya kuona vizur na pia vitaminK.
SALADI
Ni mboga ambayo hulimwa sana kanda ya kaskazini mwa tanzania kama Arusha, Tanga, Kilimanjaro,na Manyara. mboga hii huhimili ukame na pia huchukua muda mfupi kukomaa pindi inapooteshwa. kwa mkoa wa Tanga wakulima wengi ndani ya wilaya ya Lushoto huliza zao hili kwa ajili ya biashara ili kujipatia kipato kwa muda mfupi.
saladi ambayo ipo karibu kukomaa na kuvunwa tayari kwa kutumiwa kama chakulaa na binadamu
KITALU
mbegu hii ni vyema iandaliwe kwenye kitalu kabla ya kwenda kuoteshwa shambani.kitalu kinatakiwa kuwa sehem nzur yenye maji ya kutosha na udongo mlainim wenye rutba nzuri. mbegu inatakiwa isiwe vizur na kufunikwa na udongo kidogo na majani makavuu juu ili kuzui jua kupenyeza hadi kwenye mbegu. kitalu kinatakiwa kiwe sehem ya bondeni yenye kivuli kwa mbali
KUOTESHA
mboga hii huoteshwa kwenye umbali wa sentimita 15x15 shina na shina na mstari kwa mstari sentimita20. huoteshwa kwenye udongo wa aina yoyote na hukua vizur bila tatizo lolote
MBOLEA
mbolea zinazotakiwa kutumika kupandia ni mbolea za mboji ili kuongeza urutubishaji wa aridhi. mbolea za chumvi chumvi husababisha kupoteza ubora wa aridh kwa muda mfupi na pia kufanya mazao kutokua na ubora mzuri. mfano wa mbolea za kupandia za chumvichumvi ni NPK, DAP, TSP, na mbolea za kukuzia ni kama UREA CAN BUSTER hizi husaidia kuupa nguvu mmea ili kukua kwa haraka na kuvutia pia
PALIZI
ni vyema kufanya palizi mapema tu unapoona magugu yanapokua ili kuondoa ushindani kti ya mmea na magugu katika kuwania virutubisho ndani ya aridhi
KUKOMAA/KUVUNWA
zao la saladi hukomaa kwa siku 50-60 tangu kuoteshwa shambani baada ya kuhamishwa kutoka kwenye kitaluu. pia wakati wa kuvunwa lazima uangalie kama imejaza vizuri katikati kwenye tunda lake.
asnteni kwa ushirikiano wenu
imeandaliwa na
Robin Praise
mobile; 0768092549, 0625473643,0715876743
email; robinpraise5@gmail.com

Jumatano, 26 Oktoba 2016
KILIMO BORA TANZANIA: KILIMO CHA MAHINDI
KILIMO BORA TANZANIA: KILIMO CHA MAHINDI: KILIMO CHA MAHIND I (Maize) Mahind ni chakula bora na tegemezi kwa jamii ya africa. Takribani asimia 65 ya watu wengi wanatumia zao hil...
Alhamisi, 20 Oktoba 2016
KILIMO CHA MAHINDI
KILIMO CHA MAHINDI (Maize)
Mahind ni chakula bora na tegemezi kwa jamii ya africa. Takribani asimia 65 ya watu wengi wanatumia zao hili kwa chakula na kwa biashara pia.Mahindi yan virutubisho kama vile Protin,Wanga,Vitamin B, Madini chuma na mengineyo ambayo ni muhimu katika kujenga mwili. seehem nying mahind yanaliwa kwa njia tofauti tofaut kwa mfano mahindi mabichi kwa kuchomwa, kuchemshwa, kukaangwa na makavu hukobolewa na kusagwa ambapo hutumika kama lishe.
KUANDAA SHAMBA
Kabla ya kupanda mahindi unatakiwa kuandaa shamba kabla ya mvua za kwanza za msimu. Shamba linatakiwa kuandaliwa kwa kutifuliwa vizur kwa vifaa vifuatavyo
1. Mbegu
Upandaji wa mahindi unatakiwa pale tu mvua zinapoanza kunyesha. Kuchelewa kwa siku moja kupanda mahindi kunaweza kukusababishia kukosa mavuno mazuri kwa asilimia 1 hadi 2. Kupanda mahindi kwa mkono kwenye hecta moja huhitaji siku tano hadi nane ili kupanda kwa uhakika. Mbegu inatakiwa kupandwa kwenye shimo lenye urefu wa sentmita nne hadi tano ili kuzuia mbegu kuchepua kwa mvua zisizo na uhakika na pia kuzuia kuungua jua pindi hazijachipua na mvua hazinyesha vizuri
Ekari moja hupandwa mifuko 4 hadi 5 yenye ujazo wa kilo mbili na pia kwa hecter moja tunapanda kilo 25 za mbegu.
Ili kupata mahindi mazuri yaliyonyooka ni vyema kutumia mbegu bora za kisasa na za muda mfupi kama vile PANNER, TMV1, TMV2, STUKA na n.k mfano wa mahindi yaliyopandwa kitaalam
3. Mbolea
mbolea husaidia kuweka mazao kukua haraka na kustawi vizur ili kuongeza uzalishaji wa mahindi kwa wingi. zipo aina mbili za mbolea ambazo ni
Mbolea za samadi ni bora na ninzuri kutumia kwenye kilimo kwa sababu huongeza rutba kwenye mahindi na mimea mingine kwenye shamba kwa sababu haina kemikali zozote
4. Palizi
kupalilia mahindi kunatakiwa ndani ya wiki 2 hadi3 baada ya kuota hii husaidia kutopoteza virutubisho muhimu ndani ya shamba ila mahindi yasiathiriwe na kupoteza ubora wake
5. Kukomaa na kuvuna
mahindi yanatofautiana kukomaa na uvunaji wake kutokana nambegu iliyopandwa. kwa mbegu za muda mfupi huchukua siku 75 hadi 90 kukomaa haddi kuvunwa. Na mbegu za muda mrefu huchukua siku 95 hadi 125 kukomaa na kuvunwa pia. Ni bora kutumia mbegu za muda mfupi ili kupata mavuno mazur na kwaq muda mfupi sababu unapopanda mbegu za muda mrefu mvua zinaweza kukata njiani hivyo kusababisha mahindi kuto beba vizur
Natumaini umejifunza kitu kupitia makala hii. Kwa ushaur zaidi usisite kunitafuta
robinpraise5@gmail.com
0768092549
0625473643
0715876743

- Trekta
- plau
- jembe la mkono

- mbolea za viwandani na
- samadi

Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)